ADA NA MICHANGO KWA KIDATO CHA SITA 2020/2021 LUKOLE SEK
Uongozi wa shule ya sekondari LUKOLE unapenda kuwashukuru wazazi wa wanafunzi wanaoingia kidato cha sita mwezi Julai 2020 hapa shuleni kwa ushirikiano wa kimalezi na kutoa ada na michango kwa mwaka wa masomo ulio pita. Uongozi unaomba ushirikiano huo mzuri uendelee kwa kutoa ada na michango yote kwa mwaka huu wa masomo 2020/2021 ikiwa ni pamoja na kusimamia malezi na nidhamu ya wanafunzi wetu. Ili kupata kiasi cha Ada na michango tafadhari fuata kiunganishi kifuatacho :- ADA NA MICHANGO F VI 2020/2021 Tunawatakia maandalizi Mema