ORODHA YA WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA KUJIUNGA NA SHULE YA LUKOLE SEKONDARI
Ofisi ya Raisi Tawala Za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi) imewapanga wanafunzi 467 katika shule yetu ya Lukole sekondari kwa mchanganuo wa Kitahasusi kama ifuatavyo CBG 85, HGL 80, HGK 80, EGM 75, HGE 71, HKL 76.
Pamoja na kuwa orodha hiyo imewekwa kwenye Tovuti ya Tamisemi, pia inapatikana hapa kwenye blog ya shule.
kwa kupata orodha hiyo tafadhari gusa kiunganishi kifuatacho:- ORODHA YA WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA KIDATO CHA TANO LUKOLE SEKONDARI 2020/2021
Kwa maswali na mawasilianao zaidi tutumie kwa email address:- lukolesecondary@gmail.com au namba za Mkuu wa shule 0628185667 au makamu Mkuu wa shule 0783230123 / 0765326232
Tunawakaribisha wote
Iko vizuri sana. Labda tu administrator ubadilishe namba ya simu ya Mkuu wa shule maana hiyo iliyopo siyo sahihi. Asante
ReplyDelete