MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 YA SEKONDARI LUKOLE
Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) tarehe 21/08/2020 limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka wa masomo 2019/2020. Shule yetu ya sekondari Lukole imeendelea kufanya vizuri kwa kupata matokeo kama ifuatavyo DIV I =92, DIV II= 194, DIV III=32 DIV IV =0 DIV O =0 Tunawapongeza wanafunzi wahitimu, walimu na viongozi wote wa idara ya elimu wilaya ya Ngara kwa ushikikiano walionao hata kupelekea matokeo hayo mazuri Kwa matokeo zaidi ya Sekondari Lukole fuata kiunganishi kiguatacho: Lukole ACSEE Matokeo 2020 Kwa matokeo yote ya ACSEE 2020 fuata kiunganishi kifuatacho : https://matokeo.necta.go.tz/acsee/index.htm