MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 YA SEKONDARI LUKOLE

Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) tarehe 21/08/2020 limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka wa masomo 2019/2020.

Shule yetu ya sekondari  Lukole imeendelea kufanya vizuri kwa kupata matokeo kama ifuatavyo

DIV I =92, DIV II= 194, DIV III=32 DIV IV =0 DIV O =0

Tunawapongeza wanafunzi wahitimu, walimu na viongozi wote wa idara ya elimu wilaya ya Ngara kwa ushikikiano walionao hata kupelekea matokeo hayo mazuri

Kwa matokeo zaidi ya Sekondari Lukole fuata kiunganishi kiguatacho: Lukole ACSEE Matokeo 2020

Kwa matokeo yote ya ACSEE 2020 fuata kiunganishi kifuatacho : https://matokeo.necta.go.tz/acsee/index.htm

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Joining Instruction ya Shule ya sekondari Lukole 2021/2022

ORODHA YA WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA KUJIUNGA NA SHULE YA LUKOLE SEKONDARI