Posts

ABOUT US

Joining Instruction ya Shule ya sekondari Lukole 2021/2022

 Uongozi wa shule ya sekondari Lukole unapenda kuwakaribisha wanafunzi wote walio chaguliwa kujiunga na masomo kwa tahasusi mbali mbali katika mwaka wa masomo 2021 / 2022 hapa shuleni kwetu Lukole Sekondari Ili kupata maelekezo ya kujiunga yaani joining instruction tafadhari fuata kiunganishi kifuatacho  JOINING ISTRUCTION 2021/2022 Karibuni sana

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 YA SEKONDARI LUKOLE

Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) tarehe 21/08/2020 limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka wa masomo 2019/2020. Shule yetu ya sekondari  Lukole imeendelea kufanya vizuri kwa kupata matokeo kama ifuatavyo DIV I =92, DIV II= 194, DIV III=32 DIV IV =0 DIV O =0 Tunawapongeza wanafunzi wahitimu, walimu na viongozi wote wa idara ya elimu wilaya ya Ngara kwa ushikikiano walionao hata kupelekea matokeo hayo mazuri Kwa matokeo zaidi ya Sekondari Lukole fuata kiunganishi kiguatacho:  Lukole ACSEE Matokeo 2020 Kwa matokeo yote ya ACSEE 2020 fuata kiunganishi kifuatacho :  https://matokeo.necta.go.tz/acsee/index.htm

ADA NA MICHANGO KWA KIDATO CHA SITA 2020/2021 LUKOLE SEK

Uongozi wa shule ya sekondari LUKOLE unapenda kuwashukuru wazazi wa wanafunzi wanaoingia kidato cha sita mwezi Julai 2020 hapa shuleni kwa ushirikiano wa kimalezi na kutoa ada na michango  kwa mwaka wa masomo ulio pita.  Uongozi unaomba ushirikiano huo mzuri uendelee kwa kutoa ada na michango yote kwa mwaka huu wa masomo 2020/2021 ikiwa ni pamoja na kusimamia malezi na nidhamu ya wanafunzi wetu. Ili kupata kiasi cha Ada na michango tafadhari fuata kiunganishi kifuatacho :-  ADA NA MICHANGO F VI 2020/2021 Tunawatakia maandalizi Mema

ORODHA YA WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA KUJIUNGA NA SHULE YA LUKOLE SEKONDARI

Ofisi ya Raisi Tawala Za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi) imewapanga wanafunzi 467 katika shule yetu ya Lukole sekondari kwa mchanganuo wa Kitahasusi kama ifuatavyo CBG 85, HGL 80, HGK 80, EGM 75, HGE 71, HKL 76. Pamoja na kuwa orodha hiyo imewekwa kwenye Tovuti ya Tamisemi, pia inapatikana hapa kwenye blog ya shule. kwa kupata orodha hiyo tafadhari gusa kiunganishi kifuatacho:-   ORODHA YA WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA KIDATO CHA TANO LUKOLE SEKONDARI 2020/2021 Kwa maswali na mawasilianao zaidi tutumie kwa email address:-   lukolesecondary@gmail.com  au namba za Mkuu wa shule 0628185667 au makamu Mkuu wa shule 0783230123 / 0765326232 Tunawakaribisha wote

Joining instruction ya kidato cha tano shule ya sekondari Lukole 2020/2021

Uongozi wa shule ya sekondari Lukole unapenda kuwapongeza wanafunzi wote walio chaguliwa kujiunga na shule ya sekondari Lukole.  Ili uweze kupata maelekezo ya kujiunga na shule yetu tafadhari gusa kiunganishi kifuatacho:-  Joining instruction 2020/2021 Tunasema karibuni sana
ABOUT US LUKOLE HIGH SCHOOL is a co-education government high school that provide quality advanced secondary education to the public in Tanzania LOCATION The school is located in Kagera Region, Ngara district alongside highway going to Burundi from Kahama, the school is found 9 Km  from junction know as Zero zero and 18 Km from Ngara Town SCHOOL MISSION In order to act in accordance with the vision the school shall ensure that good teaching and learning environment i provided at the school LUKOLE HIGH SCHOOL in a long run shall become a mode model co-education government high school that provide quality advanced secondary education to the public in Tanzania School Mission In order to act in accordance with the vision , the school shall ensure that good teaching and learning environment is provided at the school SCHOOL MOTOR EDUCATION FOR SUSTAINABLE DEVELOPMENT